Wednesday, September 26, 2012

Kwa mwenye Moderm yoyote mpya nadhani unapata ugumu kubadilisha line. Namanisha kutumia mfano line ya Airtel kwenye moderm ya Tigo. Wengi mmekuwa na maswali mengi mkiniuliza na kutaka msaada sasa tatizo nimelipatia ufumbuzi kwa sasa utatumia line yoyote kwenye moderm yoyote kasoro TTCL tu, ndo bado ninaitafutia ufumbuzi.

Angalia kama moderm yako ina details hizi apo chini, kisha kama haina nitumie za kwako, na ndani ya dakika 3 tu tatizo lako nitalishughulikia na Utaweza kufurahia mtandao wako kama kawaida wenye 3g ya kasi zaidi.

Device
Device name: E153
Application port: COM4
Serial number: KMA( inategemea na yako) Angalia kama inaanza na KM
IMEI: 35237( kama namba inayo fata ni 000)
Hardware Version: CD1E153M
Firmware Version: 11.609.20.00.787
Software Version: 16.001.06.00.350
SIM/USIM
Own number(MSISDN): (inategemea na line yako)
Messages in SIM/USIM: (inategemea na inbox yako)
Contacts in SIM/USIM: (inategemea na line yako)
Message center number: +255713800880
PIN code status: Ready
Network status
Network name: TIGO/VODACOM/AIRTEL/ZANTEL/SAFARI/SASATEL
RSSI: -85dBm
CS network registration: Registered
PS network registration: Registered
PS network attachment: Attached
Network settings
APN:
Network selection mode: Automatic

1 comment:

  1. iko poa sana kama vipi nitumie namba yako ya simu ili nikuchukue maelezo ya kina coz nimeangaika sana . Nipo tayri hata kwa gharama yoyote, lakini nifanikishe hili.

    ReplyDelete