Angalia kama moderm yako ina details hizi apo chini, kisha kama haina nitumie za kwako, na ndani ya dakika 3 tu tatizo lako nitalishughulikia na Utaweza kufurahia mtandao wako kama kawaida wenye 3g ya kasi zaidi.
Device
Device name: E153
Application port: COM4
Serial number: KMA( inategemea na yako) Angalia kama inaanza na KM
IMEI: 35237( kama namba inayo fata ni 000)
Hardware Version: CD1E153M
Firmware Version: 11.609.20.00.787
Software Version: 16.001.06.00.350
SIM/USIM
Own number(MSISDN): (inategemea na line yako)
Messages in SIM/USIM: (inategemea na inbox yako)
Contacts in SIM/USIM: (inategemea na line yako)
Message center number: +255713800880
PIN code status: Ready
Network status
Network name: TIGO/VODACOM/AIRTEL/ZANTEL/SAFARI/SASATEL
RSSI: -85dBm
CS network registration: Registered
PS network registration: Registered
PS network attachment: Attached
Network settings
APN:
Network selection mode: Automatic
iko poa sana kama vipi nitumie namba yako ya simu ili nikuchukue maelezo ya kina coz nimeangaika sana . Nipo tayri hata kwa gharama yoyote, lakini nifanikishe hili.
ReplyDelete